Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Haya msahihishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
braza lugha hiyo ulo tumia ni shda
hahahHaya msahihishe
[emoji56] [emoji56] haya sawahahah
post #8 kesha sahihisha ndio lugha yenyewe hiyo
Hata neno. " uzaa" sio sahihi Huzaa ndio neno sahihiNi "mzaha" na "usaha" ila lugha ngumu jamani
Hilo limenipita ni haraka tu hahaHata neno. " uzaa" sio sahihi Huzaa ndio neno sahihi
Bahati mbaya mkuu nimekuelewaMzaa mzaa uzaa usaa!
Rafiki hicho ulichoandika si kiswahili.... Mwanzo mwisho hakuna neno la kiswahili hapo
π π π π aiseee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
braza lugha hiyo ulo tumia ni shda
π π π π π π hivyo hivyoooNi "mzaha" na "usaha" ila lugha ngumu jamani
Sawa mkuu π π π π πHata neno. " uzaa" sio sahihi Huzaa ndio neno sahihi
Jf ni darasa maridhawa ... Ukiwa humu unajifunza km utalitumia vizuriBahati mbaya mkuu nimekuelewa