Mystic Mountain

Ukivuta hilo vumbi puani nahisi unapiga chafya mpaka utumbo unatoka nje
 
Kumbe uumbaji unaendelea? Nilifikiri ulishakamilika na nature inafuata kanuni tu
 
Picha hii ya "mlima" wa gesi na vumbi angani ilinaswa na Space Telescope ya Hubble ikionesha "uumbaji" wa nyota mpya katika Carina Nebula. "Mlima" huu ni mkusanyiko wa nyota mpya zinazozaliwa katika mojawapo ya nebulae nyingi angani.
the secrets of being
 
hivi nebula inaweza kuonekana in naked eyes?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…