My zantel line doesnt connect at 0 sh. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My zantel line doesnt connect at 0 sh.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mnyongeni, May 1, 2012.

 1. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau hebu mnisaidie, kwanza nillinunua zantel line ya gsm, baada ya kuweka sh 500, ikawa inaconnect afu nikifungua page inaonesha kama hamna internet access. yaani page inafunguka na kuonesha kama hakuna internet access. mara wakala sh 15. then nikaitumia kwa kupiga simu ili ibaki 0 sh. then nikaconnect ikaconect but haikutoa internet access (nadhani wa kunielewaa ananielewa), nikawapigia customer care, wakasema gsm line haiwezi kunipa internet access, mpaka ninunue cdm line ambayo inauzwa sh 10,000. ambayo inakubali kwenye universal modem, na inafanya kazi na ndo inanipa internet na siyo hizi nornal gsm simcards. then nilinyojaribu kuconnect baadae hata kuconnect at 0 sh. ikawa inagoma, so please wadau hili ni tatizo kwangu pekee, au na zantel nao wametuvodacom? help me please, you can even pm me, kama unaona inafaa.
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  nunua mpya mkuu. jero tu
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,764
  Likes Received: 7,068
  Trophy Points: 280
  Jaribu line za epic nation hata usposajili unaconect.
   
 4. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  inatokea sana kama hivyo. mie nishatupa lain kama nne hivi, inapiga mzigoooo baadae inagoma. hata ukiweka hela inagoma. itupe tafuta nyengine....... wala usipige customer care. na hiyo nyengine itakuja kugoma, irembeee tafuta nyengine....
   
 5. gkiwango

  gkiwango Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hili tatizo unaweza kulisolve kwa kutengeneza profile/configuration kama hii


  Profile name: Zantel Net

  Static apn
  APN: znet
  Authentication
  Access number: *99#
  username: @zantel.com
  password: 121212
   
Loading...