My xsmas

We unajifariji tu hamna lolote hapo huenda hata mzee huna labda wa part time
 
Subutu. Once a year. Mpaka ya kuhadisia kwenye mtandao?

Siku zingine kajogoo huwa kamejilalia tuu kama kapo dying phase. Lol
Hahaha hili jibu umelitoa ghafla au ulijipanga limenichekesha sanaa
 
Hilo jina Zahra na hayo uliyoyaandika haviendani kabisa.
 
Hapa ni Zahra White katika ubora wake kabisa

Halafu nashangaa kwa nn watu wanadhani anadanganya..wazee wa kimasai hadi miaka 70 huko wanatia mimba wake zao
 
Last edited by a moderator:
Subutu. Once a year. Mpaka ya kuhadisia kwenye mtandao?

Siku zingine kajogoo huwa kamejilalia tuu kama kapo dying phase. Lol

Waswahili wanasema....."MASIKINI AKIPATA............!"
 
ngoja akufie mzee wa watu halafu usingiziwe umeua kwa kutaka urithi!
 
Eeeeh mm nikazani wanaume tuu ndo wanatabia yakujifagilia demu yule nimempa kichapo mpaka amekoma kumbe na wanawake wapo eeh unasema mbele ya jamii yote kherii endelea tuu na vizee
 
Eeeeh mm nikazani wanaume tuu ndo wanatabia yakujifagilia demu yule nimempa kichapo mpaka amekoma kumbe na wanawake wapo eeh unasema mbele ya jamii yote kherii endelea tuu na vizee

Hahahahaaaaaaa umenichekesha mkuu duuu sifa hizi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…