habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua yule rafk yangu ni muongo,na mimi nimefikia muda wa kuolewa nifanyeje na mchumba sijampata?
my ex............mnxiuuuuh
haya we mkubali tu olewa naye!!!
akitembea na rafiki yako mwingine mtaliki!
akigundua tena kuwa ni muongo, akikupigia simu mrudie!!!
my ex...............mxiuuuuh!!