Mrembo na Proefesa sijui dokta, maana umekaa kama prof na huyu mrembo sijui patakuwaje.
Si unajua ma prof wanavyohangaikaga wakipata mrembo unakuta kasoma dayati zote duniani na kagundua vyakula vyote vitamu vina madhara.
Unakuta kachemsha mchicha na whisky.
Intellectual collection yake yooooote unaikuta mezani
Anaanza kukusimulia alivyogundua ssijui nini
Mavitu magumuuuu!
Nakupa angalizo tu, sipendi mtu ashindwe kutema sumu jamani.