My wallet

My wallet

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Jamani cjui wallet yangu ina matatizo gani? Kila nikichomoa elfu kumi chenji haikai hata nusu saa, au izi wallet cku izi zina virus jamani?
 
Jamani cjui wallet yangu ina
matatizo gani? Kila nikichomoa elfu kumi chenji haikai hata nusu saa, au
izi wallet cku izi zina virus jamani?

Tafuta ant virus.
 
mimi ninayo antivirus ya kuzuia kirusi cha upotevu wa fedha! dakika kumi tu pesa yako haipotei potei tena!
 
Back
Top Bottom