Kwa mtazamo wangu baada ya uwasilishaji wa taarifa ya ukaguzi ya swala la Escow Acc na mambo yake yooote.
Kesho waziri mkuu atajiuzuru wadhifa wake hivyo baraza la mawaziri litavunjwa, pamoja na baadhi ya mawaziri waliotajwa kuhusika moja kwa moja katika ukwapuaji wa mabilioni ya Escow. Hivyo kuvunjika kwa serikali kutapelekewa kuvunjwa/kuahirishwa kwa bunge kutapelekea kutojadiliwa tena kwa taarifa iliyowasilishwa mezani.
Na huo utakuwa ndio mwisho wa kujadiliwa kwa taarifa hiyo na kuendelea na matukio mengine yataendelea kama, uchaguzi wa serikali za mitaa, Uteuzi wa Waziri mkuu, na baadhi ya viongozi wengine kwenye baraza la mawaziri wapya.
Waiting for the next episode