Icadon hivi unataka kuniambia hakuna nchi ambayo haina corruption?....hapa USA kwenye kuna corruption kuliko huko bongo sema bongo watu ni wale tuu na tunajuana sana....ndiyo maana its easy kujua data za mtu.
....Kelly01, ni kweli kabisa hamna nchi isiyo na corruption. Ila huko USA wanapowakamata wanawafunga au kuwapatia adhabu zinazostahili. Mifano ni mingi..
....Kwetu, wezi (rushwa) kama unavyosema, ndiyo, karibia wengi ni walewale. Tunapiga kelele katika kujadiliana hapa ili walau nasisi tujaribu kuleta hukumu zinazostahili kama vile zilivyoandikwa kwenye vitabu vyetu vya sheria.
Kwa hiyo kwa kuwa kuna corruption US na sisi ndio tusipigane kuondoa hiyo corruption Tanzania?
Rushwa ya Tanzania inaumiza raia wa chini ata kwenye haki yako ya msingi bado utatakiwa kutoa rushwa, niambie wewe lini uliombwa kitu kidogo US wakati say unaomba uunganishiwe umeme au unarenew ID?
Jana nilikuwa na discuss this with one of my best buddy about this so called mafisadi and stuff right!...
Nikakaa na nikafiria sana nikasema he is very right!...kama hapa jf nimesoma comment/contribution za watu wengi sana akina sijui mwanakijiji huko sijui akina mchukia fisadi ,Invisible and you and you and you just to name the few (mifano) you know tunalalamika kuhusu mafisaid this mafisadi that come to think about this righthata wewe ungekuwa kwenye upenyo kama waliokuwa nao akina rostam sijui Lowassa,Johnson Lukaza Mponjili trust me you would have done the same shit I swear to my own grave I dont lie and if I lie god is a fool . if given that opportunity kama za akina Lowassa sijui dr ponjo hahaha me as Kelly01 hahahaha lazima na mimi ningefanyizia I dont lie..pesa tamu bwana kama mtu hataki fwedha then msingehangaika kudamka asubuhi na kwenda kazini ili uweze kulipwa mshahara na kuwez akulipia bills zako actual kupata mahitaji yao ya lazima chakula,mavazi na pa kuishi .
And my point is mnapiga kelele za bure tuu as long as you work and do what you are suppose to do thats all matters..lets rostam be rostam etc na sheria itamshughulikia kama kumuweka behind bars au kunyongwa kama Saadam Hussein.
Peace!
Kweli ukishindwa kupigana nao basi JIUNGE nao!
Mafisadi na wale wote wenye mtazamo wakifisadi ni traitors wa nchi.
And that is my whole point najaribu kujiunga nao ila kwa kutumia njia ya akina warren buffet simple and clear buy old cars and refunish them and sell....Its all about investment.
Heheheheheee..Cupcake you funny
yeah cupcake and that is why you like me because of that..isn't it?...i am so old skool
Speechless!!!!!!!
you got it right cuppy....you always keep it real, exciting, and interesting....muuuuuuaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimesoma hii thread, nikapitia coments zote nikajikuta sina cha kuchangia ndipo nikakumbu comment yako Nyani Ngabu ''Speechless''. With this thinking and arguments, really Kelly you need councelling. That's what I can say. I advise you to revise your post just spend a minute read it again and try to digest it.
Mkulu mambo yanaendaje ATL?
Ebana ATL mambo yako tres bien!! Si unajua mazee summer ndio imeshaanza..yaani basi raha mustarehe tu! Yaani full kujiachia...
Wakati wa summer utaupenda huu mji mazee. Heheheheheee....I mean...hii ndio totoz capital ya Nyamwezi mazee....we acha. Kila kona...iwe mall.....iwe Walmart...iwe Target...iwe kwenye park...iwe gym...you name it...totoz kila kona na kila angle hadi unajiuliza hizi totoz huwaga zinatoka nje wakati wa summer tu au vipi....
Yaani mazee wakati mwingine huwaga naenda Walmart bila hata sababu yoyote....naenda kuangalia totoz...na wala hata siombi namba wala nini...ile kuziona tu mimi tosha kabisa....nnaridhika....
Ukienda anga za Phipps Plaza...hukawii kumwona Mya....ukivuka barabara kwenda Lenox...boom....LisaRaye huyo.....ukichukua Peachtree St. hadi Atlantic Station....gademu! unakutana na Monica.....
Raha sana mazee....
Koh koh koh koh koh i think i need B-kubwa au kofta!...
Nina mshkaji mitaa hiyo huwa ananipa data, babu nasikia ni balaa.
Paycheck nyepesi unaibamiza haraka mno....
\Itabidi sometime ufunge safari mazee uje uoshe macho....there is plenty of eyecandy around this way!!!
\
No doubt babu, lazima kutoa tongotongo, huku babu kabaridi kamerudi na vimini vimerudishwa kabatini. Balaa tupu. Watu wana plan ya kutembelea ATL fall...
Thats whats upper....fall kwenu sisi kwetu bado summer....
Yap napata muda wa kukimbia kibaridi hata kwa siku mbili tatu..Naona ki BOOTY-OMETER chako ushakipiga kiwi tayari kwa kazi...lol