My Tanzania people | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Tanzania people

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Binti Maringo, Jan 4, 2010.

 1. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Najua humu ndani we all love our country Tanzania and r so proud of it...na tupo tayari tena bega kwa bega to fight for it....Maana we are all crying for change...na ndiyo maana tuna fight na Mafisadi ambao wanatajirika kwa migongo yetu....Na kuacha wananchi wanaumia...

  Swali na swali langu ni hili (i don't wish to happen though)...ikaja kutokea kuwa Tanzania ni among the terrosit country right kama Nigeria sasa hivi (hot topic)...will you go ahead and claim Tanzania as your country and be proud of it kama ulivyo sasa hivi....or claim other country as your country of origin based on what will be going on media's focus?...Just curious...


  As far as for me I am Tanzanian for life no matter what?!.....what about you?
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Jan 5, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,565
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Binti Maringo if you are proud of this country then you are blessed!

  I too am proud of this country,

  but how many are they?

  Umaskini wa nchi unaondoa proudness, I have witnessed people are not mentioning this country once asked abroad!!!1they can say I am Mkenya!

  Believe me, mpakistan mmoja alinitania, kuwa tukichukua ndege tukaweka Airport na kusema kwenda USA ni bure! ndege itajaa kuliko daladala za mbagala!

  ukisema marekani kuna ndege ya bure kwenda Tanzania, atakushangaa, sana sana akija aende kuangalia wanyama na kurudi kwao, wakati sisis deal letu ni kuishia huko moja kwa moja!

  Unasema ugaidi tena?? watu wanakataa kuitwa watanzania kwa sababu ya umaskini, ukiongeza ugaidi, I doubt!!!!

  However, I love my country for better for worse!

  If you will travel across the world, it is undeniable facts, the place where you can real feel the beauty of living as human creature is Tanzania.

  mafisadi tu hawa wanatupa pressure

  Our country is beautiful I can song endeless songs to praise her
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Hivi waMarekani wakiita nchi yako ni ya ugaidi ina maana kila raia ni gaidi? Hata Afghanistani siyo kila mtu ni gaidi na wengi hawaupendi ugaidi. Kama alivyosema Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria siyo haki kutumia kitendo cha mtu mmoja kuipaka matope nchi nzima. Mimi hata wakipaki space shuttle ipeleke watu Marekani sitakuwa mmoja wao. Tanzania ndiyo nchi aliyonipa Mungu. Nitaipenda, nitaifia, bila kujali kuwa inaitwa ya kigaidi, imejaa mafisadi, ni masikini au vyovyote vile. Hivi ukikimbilia Marekani ndiyo ufumbuzi wa matatizo ya Tanzania?
   
 4. N

  Nanu JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  as far as I am concerned, I will always remain a Tanzanian no matter what will it be called. I will remain a devoted Tanzanian and I urge all my country men to be the same. It is me and you who will make Tanzania a haven of this world, it is not about America or Europeans, all of them are for their countries interests...remember every Americans know and understands that...America has no permanet friend or enemy but it has permanent American interests...
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  thank you!!! mkataa kwao mtumwa!!!
   
 6. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ruge no sijasema kama ukimbilie marekani and claim it as your country of origin ila nimesema will you claim other country?....sijatoa specific ni nchi gani...

  Waberoya...I am wit you ya watu kukana uraia wao wa kitanzania kwa watu kwa sababu ya umasikini wetu...Miye naipenda nchi yangu na nipo so proud hata kama ni maskini...wanasema nyumbani ni nyumbani hata kuwe kubaya au kuzuri bana....huko ndiyo ulipozaliwa na kukulia mpaka kuwa who you are right now au siyo....

  Tanzania for Life!!!....Mungu Ibariki Tanzania!
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  I love Tanzania. It is a good country.

  Kuhusu ugaidi, hili ni jambo zito kama Tanzania itageuka kuwa Nigeria. Lakini ukweli utabaki pale pale kuwa chanzo cha ugaidi si Utanzania bali ni imani flani ambayo ni potofu, na hilo linajulikana duniani pote.

  Hivyo basi, hata kama kuna ugaidi Bongo, bado nitakiri kuwa ninaipenda Bongo, na kutamani siku moja, Bongo itakuwa free kutoka Ufisadi na mambo ya namna hito, to wit.
   
 8. Z

  Zebaki Member

  #8
  Jan 6, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote :)
   
 9. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninakuthamini hadharani na moyoni

  Nitalalamika kukuacha Tanzania
   
 10. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  For ups and downs i will remain to be Tanzanian and i will say it again and again wherever i will and whatever will happen...yaani kwangu Tanzania ni zaidi ya kiapo cha ndoa ya kikatoliki..
   
 11. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mimi nafikiri kama kulingana na tukio la kighaidi lililotokea hapo majuzi ikimhusisha M-Nigeria inatosha kuiweka Nigeria katika kundi la nchi maghaidi,basi,Tanzania ilisha-qualify kuitwa nchi ya kighaidi kwa maana kuna Watanzania kadhaa wameshakamatwa hata na FBI na wengine kupelekwa Guantanamo bay kwa tuhuma za kighaibu,most recently noticed ni mtanzania Ahmed Ghailani ambaye alikuwa detainee wa kwanza kabisa kutolewa Guantanamo na kufunguliwa mashtaka New York,The First act by Barack Obama's new policies towards Gitmo detainees!
  Ninachotaka kusema hapa ni kuwa hauna sababu yoyote ya kutoipenda nchi yako kwa sababu ya maovu yanayofanywa na baadhi ya raia wa nchi yako,kila nchi ina raia waovu na hata marekani,uingereza,ujerumani,ufaransa,China,India nchi zote wanatokea kuwepo watu wa staili hii wanaotia doa sifa ya nchi,ni jukumu lako wewe raia kusaidiana na raia wenzako(serikali na watendaji wanaohusika kupambana na haya maovu)kwa hali na mali kupambana na kuwadhibiti hawa wadudu ili ku-mantain heshima ya nchi yako!

  http://www.justice.gov/opa/pr/2009/June/09-ag-563.html

  Tanzania is my foot,it's where i stand,even if i happen to cross the borders and go far away,i will always stand by my feet!
   
 12. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Binti Maringo,
  Huwezi kuikana nchi kwa sababu ya upumbavu na ujinga wa mtu mmoja, roho itakuuma na labda utajisikia vibaya lakini kuikana nchi sio rahisi.

  BTW, Ahmed Ghailani aka Ahmed The Tanzanian alikuwa kwenye FBI Most Wanted Terrorist List (bounty yake ilikuwa US$ 5 million) kuanzia October 2001 mpaka alipokamatwa July 2004 na siku sikia mtu yoyote akiikana nchi.
   
Loading...