Kwa hali inavoelekea Sitta anapigwa chini na Mzee wa VIJISENTI-CHENGE anakalia kiti cha Usipika. Huwezi amini lakini huo ndo mkakati.
Watu wakiambiwa kuwa CCM inaendeshwa na MAFISADI watu wanakomaa tu bila sababu za msingi. Kwa hiyo KUNA SHINIKIZO KUBWA LA MAFISADI (R.Aziz,Chenge,Lowassa,Mramba n.k)NYUMA YA USPIKA WA BUNGE HILI KUWA SPIKA SITA HAFAI NA AKIENDELEA KUWA HAPO ATARUHUSU TENA MIJADALA YA UFISADI AMBAYO ITAWAGHARIMU TENA CCM! Kumbuka bado swala la RADA,KAGODA,DEEP GREEN,NA MEREMETA ZINATOKOTA.
Mimi nasema hivi wafanye haraka sana wampe huyo CHENGE awe supuka. Kwetu
sisi wana CHADEMA tutakuwa tunashangilia kwasababu hii ni kama kututengezea njia nyeupe kwa Uchaguzi 2015 au kabla ya hapo kama kutakuwa na anything hapo katikati.
Maana kama Wabunge 5 CHADEMA waliweza kusimama against wabunge zaidi ya 250 wa CCM vipi sasa wakti kuna Wabunge 50+ wa CHADEMA, ITAKUWA NI MOTO WA KUOTEA MBALI.
Tusubirini anguko kuu la CHAMA CHA MAFISADI-CCM!