My status

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
632
Msaada tafadhali jinsi ya post video yenye sekunde zaidi ya 30 kwenye my status whatsapp unafanyaje..?
 
Mi najua haiwezekani.
Sijui kwa wengine.
 
Hakikisha ume update whatsapp yako kwanza
 
whatsapp nyingi hazinaga hizi additional option cha kufanya ingia google search YO WHATSAPP.apk kisha zitafunguka links nyingi ingia link moja wapo download yowhatsapp apk file kisha install jumla utakuwa na whatsapp mbili kama unataka usipoteze hata data yako moja usiifungue kwanza hiyo yo whatsapp kwa kuwa itakuwa imeshajitengenezea mafolder yake yenyewe ingia kwenye file manager yako kisha fungua folder la yo whatsapp kisha futa mafolder yote yaliyopo ndani ya hilo folder kisha fungua folder la whatsapp la kawaida mark mafolder yote yaliyopo ndani kisha ya move kwenye yowhatsapp folder kisha ukishamaliza fungua yo whatsapp ingia na ile ile namba yako ya mwanzo uliyokuwa unaitumia itakuletea kurestore data restore kisha utaingia ndani ya yo whatsapp.
now there is when the fun beggins ss ndani ya hiyo yowhatsapp kuna opptions nyingi kuliko hata gbwhatsapp utajifunza kuzitumia tartiiibu tu ila unaweza set ukatuma video hata ya 4 gb ALAMSIK
 
Nimekusoma mkuu
 
Mkuu vipi GB WHATSAPP INAKUBALI??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ