My spiritual opinion: Tupac Shakur alikufa baada ya kumezwa na “kivuli” cha mauti cha Biggie Smalls

Status
Not open for further replies.
Wacha niwaweke sawa nimegundua kitu watu wakikupenda sanaaa siku ukifa watu huwa hawaamini licha ya kujua ni kweli umekufa........nafikiri ili swala ndio limetokea kwa huyu jamaa TUPAC SHAKUR ......ukweli ni kwamba tupac hayupo tena kwa dunia hiii ........tupac alipendwa sanaa hadi kiwango cha watu kutoamini kifo chake mpaka leo hii
Tupac is dead, baadhi ya watu kutoamini kifo chake ni kutoka na mashairi yake mwenyewe na kujibadili jina kujiita Makaveli.

Don Kiluminanti seven days theory of Makaveli.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom