Ndiyo me nimesoma wote na ki ukikweli anakipaji!!!Watu navipaji vyenu, yaani mtu anaweza kusoma uzi wote huo?
Tupac is dead, baadhi ya watu kutoamini kifo chake ni kutoka na mashairi yake mwenyewe na kujibadili jina kujiita Makaveli.Wacha niwaweke sawa nimegundua kitu watu wakikupenda sanaaa siku ukifa watu huwa hawaamini licha ya kujua ni kweli umekufa........nafikiri ili swala ndio limetokea kwa huyu jamaa TUPAC SHAKUR ......ukweli ni kwamba tupac hayupo tena kwa dunia hiii ........tupac alipendwa sanaa hadi kiwango cha watu kutoamini kifo chake mpaka leo hii
Mwandishi anadai kifo cha Big ilibidi afe Tupac kwa hoja tu ya kulala na Faith Evans.Biggie alikufa baadae...Tupac ndo alianza kufa
Bangi tu mkuu.Ghetto gospel
Tupac hatupo nae kimwili