Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,916
- 3,461
Izzo bizness ft abela_umeniweza
wewe ipi inakukonga moyo
wewe ipi inakukonga moyo
kuna ile Babutalent unaionaje...Me kuna aka ka wimbo ka nikki mbishi am soli jeikei.... Ingawa akajatoka ila laza zake zinanoga
umeisoma namba?CCM mbele kwa mbele
Yaani nikiisikia moyo unaburudika
2020 nitatoa remix yake!