unfortunately, this is very true!
this wont be a viable solution as her sister will keep on flirting with any boys she likes
She should change the kind of "boys" she is dating ... atafute watu waliotulia, wakomavu wa akili, na wenye msimamo; huyo mdogo wake kamwe hatojishaua kwa watu hao. Lakini kama vi-boyfriend vyenyewe ni hivi "vi-hiphop" boys, aamini tu wataendelea kumegwa wote tu kila siku ... sampuli hizo hazina ustaarabu kabisa na kujiheshimu kwao ni sifuri!