my Short Intro

Lady doctor my wii uko wapi!!!!!

dont tell me na leo unaandaa supu ya pweza
wakati kuna watu wanasubiri ukaguzi wako huku

my wii kuwa first lady sio kazi ndogo atiii! Najipa tizi kwanza

halafu huyu mtoto shombeshombe jana tu nilimkagua, lakini naona kashupaza shingo, naona anahitaji operation ya kikojoleo kama Eli79, niitie dismynder1 aniletee zana
 
Last edited by a moderator:

Hivi besti, mbona hukuleta mrejesho baada ya supu ya pweza?? nikaona kimya nikajua malkia yupo ICU manakeeee..
 
best we acha tu, kilichotokea baada ya supu ya pweza haifai hata kuelezea......... Mpaka leo uchovu haujaniisha mwenzio
 
mi nasema bora uchovu kuliko huyo ''mwenzako'' aachwe yatima...teeeeh!
 
Haya Mamndenyi mume huyo, achana na hao wanaokupiga talaka kila siku.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…