beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
-
- #61
halafu tabia ya kuniita kiwowowo mbele ya mume wangu ukome!
Kama unacho na kakiona si anasifia kitu ya shemejiee
Kaendelee kuteeita wacha sie mutu na shemejie tujilie vyetuu... Heheheeee😕 Kama nawaona
beibe nasty, alitakiwa aniite hivyo tukiwa wawili tu sio mbele ya mume wangu najisikia aibu atii!!!!!!
Haya we shem b52 usiite jina hilo teena
Siiti tena ila tukiwa wawili hakuna muda wa kuita hilo jina zaidi ya kupiga kazi
Hahahahaaa
Halafu nahisi km umenimiss sana eeh
nitaanzia wapi
Hahahahaaa nimepewa kalikizo kidogo aisee watu8
Hebu mwambie binti yako charminglady namtafuta sana aisee aje nimpe zawadi yake
Nambie shem wangu
Dah.....
Akikukakata Arushaone shauri yakoMbona na dada mwenyewe anatamani na huwa anaenjoy ninapomnanii? Lady doctor come this way upate raha za weekend coz leo Chocs anaenda kumsalimia Kipipi
Nimekukumbuka my shemeji wangu yani nimelala mekuota umenimis mnoo nkaenda kwa maalimu nikisaidiwa na my ex Judgement kaka yako basi akatafasiri ndoto yangu akasema Naam ni ukweli shemejio kakukosa(miss) na kukukumbuka. Basi kama kawaida ta mie huyu Beibe Nasty sina hiyana mie nkasema hata lazma nikutafute shem wa ubani.....jamani afu msalimu na Black Woman n Arusha One.
NB. Erick B52 ni shemeji tuuu hakuna kuzima taa hapa....