beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Ukiona manyoya ........
...mbona unajihami namna hii...tiririka tuuNB. Erick B52 ni shemeji tuuu hakuna kuzima taa hapa....
...mbona unajihami namna hii...tiririka tuu
Hahahahahahahahahaha,lolNilijua mtu kama wewe Chocs hawakosekani Shem hebu njooo hapa Haraka watu wameshatokwa na povu🙄
Jamani my ex wala mi staki kuzima taa na my shemu hapa ni upendoo tuuu wa ubani huyo jaman shemu langu la ukweee... Njoo basi nawewe loooh kukutafuta kooote huku aaaaah usinfanyie mambo ya kidela yakhee bwa shemejiii
halafu na wewe kuna kadem kamoja kajifaragua kwako, umekaona????
Mpenzi kajikwatue si unajua leo tuna mtoko?
Nilikaona my love nikakapotezea, twende tukakamwagie tindikali za kijeiefu fasta.