Habari watalaam wa JF section hii.
Simu yangu ni Galaxy Y recently imekua na tatizo la kushindwa kufungua any links. Mfano mtu anapost habari hapa JF, FB au Web then inakua na link attached bas nikifungua ile link haifunguki. Nimejaribu ku update software lakini hakukuwa na any updates available cz nilisha update recently.
Mwenye utaalam na hii ishu tafadhali nitashkuru nikipata msaada.