My Perspective About Hidden/Fake Identities

blaza umeunganisha sentensi mpaka makal yako imekosa fleva, mie kilichonichosha icho tu paragraph zimeunganishwa mpaka daaah, ushauri wa bure kama unajua kuandika kwa kiswahili, ni bora zaidi maana utafikisha ujumbe kwa wengi zaidi mkuu wangu
 
Haya na split paragraph. Naona shida ni kidhungu kinakuhangaisha wala sio suala la paragraph. Nimeandika kwa lugha amabayo ndo nilikuwa nafikiri. Stori yangu ilikuwa inaflow zaidi kwa kidhungu. KAma command yako ya English ni below average then usinilaumu sana.
 
hapo mkuu umegongelea msumari penyewe, si unajua tena lugha ya malkia
 
ndefuu mpaka inachosha, na kweli hakuna mpangilio wa paragraph! alafu sio mpya! mbona inazungumziwa saaana tu?!
 
ndefuu mpaka inachosha, na kweli hakuna mpangilio wa paragraph! alafu sio mpya! mbona inazungumziwa saaana tu?!
Kama huna content kichwani ni ngumu kuielewa. Ndo maana nimeileta huku kwenye teachnolojia kwa kutegemea watu kama Invisible na Steve Dii wataisoma. Kama wewe ni bingwa wa kupost kule kwenye mahusiano na mapenzi hapa umeingia choo kingine. Ila sitegemei mtu kama wewe utaielewa.
 
daaaah kazi kweli kweli....
umepotea jumla mkuu
 
ndefuu mpaka inachosha, na kweli hakuna mpangilio wa paragraph! alafu sio mpya! mbona inazungumziwa saaana tu?!

kama hiyo mada ni ndefu utaweza soma, novel/kitabu chenye page 250 na kuendelea? je utaweza kusoma leading news papers across the globe kila siku? kufatilia columns za waandishi nguli unaowapenda katika topucs mbalimbali kila siku? kweli ukitaka kumficha mswahili kitu weka katika maandishi. (lugha ndio tatizo lako kuwa mkweli)
 
Mi nimeipenda kwa sababu napenda kisikia habari za teknologia.

Suala la lugha ni kweli ujumbe ungewafikia wengi zaidi kama kiswahili kingetumika, ingawa maoni yangu ni kuwa pamoja na 'kutokijua' kiswahili tujifunze kiingereza pia, hiki ndicho kiswahili cha 'dunia' na hatuwezi kukiepuka kwa sababu dunia imeshakua kijiji.

Kuhusu urefu wa post hilo wala sikuligundua, na kwani post moja mwisho maneno mangapi?
 
safi sana kaka. nimeipenda. ungeandika kwa kiswahili ungemuenzi BABA wa taifa. MAAna yeye alipigania kiswahili hadi kiingereza chetu kimepotea. Tofauti na wakenya...wao wametupita
 
Jaman kuna vitu vingine haviandikiki kwa kiswahili hasa mambo ya teknolojia,good job
 
Duh, hii lugha ya malkia ingawa naijua kwa mbali kidogo huwa inanipa uvivu kuisoma hasa article inapokuwa ndefu kama hii
 
ahsante mkuu Freelancer nimejifunza kitu. especially kwa hiyo habari ya data mining na Your "Likes" can actually reveal your deep secrets. naendelea kusoma nijue zaidi. ukipata kingine mkuu zidi kutujuza...
 
safi sana kaka. nimeipenda. ungeandika kwa kiswahili ungemuenzi BABA wa taifa. MAAna yeye alipigania kiswahili hadi kiingereza chetu kimepotea. Tofauti na wakenya...wao wametupita
Ningependa sana kuiandika kwa kiswahili. Ila kiswahili cha technolojia ni kigumu sana. Inabidi tuandike kwa Lugha mabayo tunajifunzia haya mambo. Na pia ngumu sana kutafsiri literature uliyosoma kwenye kiingereza kuipeleka kwenye kiswahili. Ni vizuri tukajifunza kiingereza maana hawa wakezaji watatuibia sana. Maan Wa TZ wakiona kiingereza tu wanajua huyu mwekezaji na wanamkimbia kabisa na wanaogopa hata kumuhoji
 
Nashukuru kwa kunipa moyo. Na ndugu zangu mnaosema ndefu sana nafikiri kuna kitu mna lack ambacho ni faida yenu kwenu. Hamna utamaduni wa kusoma vitu. Kama umeshawahi kusoma kitabu cha angalau page mia cha kidhungu sioni kwanini hii post iwe ndefu unless hamtaki kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…