Duh jamani anakosa raha za dunia
Huyo Dr alikuwa na bifu na huyo mgonjwa
Atakuwa alimchapia demu wake
Hahahaaa most likely...!!! Lakini ndo amfanye hivyo kweli ! INAUMA
Kuchapiwa bibi yako inauma sana mkuu
Kuchapiwa bibi yako inauma sana mkuu
Bht sana ukimwi nooo
Jerry ukimwi unakuja kwa njia nyingi
Mnh..hujalala tu bibie!?
Tena zaidi ya kuuma mi ntakuja mtia mtu jando mchana kweupee tena bila ganzi wala robo kaputi
Nipo windo mkuu
Nichukue bureee...
Karibu mkuu lakini kazi kwanza
Duh..unanitisha
Mkuu ngoja nimalizie lindo