my Opera inagoma kufungua yahoo page.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
623
267
Nimejaribu kutumia opera version zote bt katika zote hzo yahoo page haifunguki, nifanyeje ili niweze fungua yahoo kwa opera. Simu ninayotumia ni samsung gt e2152. Message inayokuja ni kwamba "starting point of this page doesnt support your device." help please.
 
Hiyo error message inajieleza kuwa version ya hiyo opera min uliyo install haiwi supported na device/ simu yako.

Solution
1.Nenda site ya samsung labda wana fix au tumia recomended browser version inayopendekezwa na samsung kwa ajili ya hiyo simu. unaweza kujaribu kuinstal version ya chini ya opera min kama specifically opera min version 4.3
 
Yap nimejaribu njia zote ikiwamo hiyo ya kudelete na kuinstal tena bt imeshindikana. Napenda opera jaman kwan inanipa good visual impresion ninapofungua page yoyote ile. Default Browser waliyoiweka ktk cmu ni mizinguo na baadh ya page hazifunguki vizuri halafu page zinakuwa hazipo compresed
 
Nimekueleza soma device yako ujue ina suport opera min version gani au jaribu kuinsitall opera min version 4.3 . Neneda hapa chagua 4.3 Opera Mini & Opera Mobile.

haraka haraka binafisi nimegoogle nimseoma simu yako haiendani na opera min zote. So donwload and install 4.3. Hope umeelewa. Sababu kuidoload tu pera min by default na sehemu nyingi utapata latest ambayo ndo hiyo inakupa matatizo. Otherwise taja version ya hiyo opera min inayosumbua.

Good luck
 
Back
Top Bottom