My Observation

My Observation

Ngozi Joram

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
662
Reaction score
546
Habarini wana JF, kutokana na mizunguko ya hapa mjini nimegundua kuwa mabasi ya mwendo kasi yamepungua au yameondolewa kwenye mzunguko. Ukiwa vituoni si ajabu kusubiri gari nusu saa hadi lisaa na kupigania ni kama mbagala. Je wewe umeona tofauti hebu longa pia
 
Back
Top Bottom