Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,195
Hii ni moja ya Nyimbo zangu wana Jf kama kuna ambae atapenda tufanye kazi yaani anisimamie katika kazi zangu kwa sababu sasa hivi niko mimi kama mimi kuna baadhi ya vitu nakwama kuvifanikisha.
Na maoni yenu wana Jf kwa ujumla.
Kama unaitaka Audio yake unaweza kuidownload hapa wakuu
*Nyingine Hii Mpya Kutoka kwa Chonda Jr akimshirikisha Nass Prince wimbo Unaitwa Hana Mfano, Download hapa





*Music | Chonda Jr Ft Nass Prince- Hana Mfano | Mp3 Download
*#MzikiMzuri*
*#Chonda Jr.*
*#Prince Nasss*
*#HanaMfano*
*#Beupdatedtz*
