Natamani na mimi nipate mpz kama Kasie. Mapenzi na Kasie, Kasie bila ya mapenzi haiwezekani.
Namshukuru mungu ni kwema nimezipenda mada zako aiseeKwema haswaaa, weye jee?? Umepema?
Na kwako pia mdauNashukuru kwa kuzidondokea mada. Siku njema kwako.
Asante sana mkuu ila mimi natumiaga bamboo juicesCheers, karibu pinacolada.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]The way I love you, my facial expression tells all. Many kisses to you dadiiii mmuah!!
Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.
Ulale Unono Mahabuba
Kasie Mahabat Matata.
Nilikuambia gonjwa ulilonalo ni nzito sana na tiba inatakiwa
Saiv uko hatua mbaya ya emotional sanity..empty brain kabisa
Thank u very much mummyOoh that's ok, just order of your choice and I'll clear the bill.