hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
Raj Patel yupo?
mie mwenyewe nimemfikiria huyumtu.....
Raj Patel yupo?
Hahahahhhahaahhah ujue ni elimu nzuri sana tunajipa kwa kutembea nchi nyinginelakini tunakuwa hatujasoma kitu kwa sababu ya kushindwa ku identify culture za watu.sisemi kua wahindi wachafu lakini naomba nikueleze kuwa kabla hujaenda sehemu yeyote cha kwanza ni kujua lifesyle yao ipoje huko...mfano unaposema kuhusu kunya nje...ka jamii za bongo ni uchafu lkn huku ni jambo la kawaida kabisaaasawa na kutema mate nakujamba na mambo mengine kwa hiyo usiseme ahindi wchafu sema '' tamaduni zao kulinganisha na zetu unaona zao chafu''.
halafu hizo cyo picha za India zote...hapo ndo umeharibu unapotoka kwenye nchi hzi za nje jaribu kutoka na mazuri ona wewe umetoka na picha za uchafu,cjui zinafundisha nn hzo?BE POSITIVE!!
Kwa hiyo Tanzania ni safi sana? Umeilinganisha na wapi? Na unaposema India ni chafu umeilinganisha na wapi? Umetumia vigezo gani kwenye ulinganishaji wako uliofanya?
I've been to India several times for work. While it's not all dirty, there is absolutely no doubt it is the dirtiest place i have ever been.
Tanzania does not even come close, trust me.
Mpelijr umenikuna sana kwa POSITIVITY comment yako
duh, hii ni sooo.
mie mwenyewe nimemfikiria huyumtu.....