My lil trip in India, the Filthy Country [Photos]

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,873
Points
2,000

njiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,873 2,000
India is the dirtiest country I have ever been to. I have heard people say that Pakistan, which is to the west and Bangladesh, to the east, are worse, but that is probably beyond the limits of my imagination.
In two months in India, I went from south to north, visiting some tourist towns that I had read about.

I also went by train and bus to countless towns and open fields that weren’t so famous, and everywhere there were people had something in common — dirty, messy and stank. Interestingly, I also saw countless foreigners having a great time.

A holy ground covered with feces!Puri, where heaven and hell come together.


chini hapo At the river side lighting the fire for cremation.Floating corpses, a common sight on the Ganges!
The famous morning bathing by the Ganges, washing as if the rotting corpse floating by was nothing!
Bathing in the corpse-filled Ganges!chini hizi ni maiti hazina wenyewe
 

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,695
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,695 0
Mbona pasafi sana hapo..umekuja kwetu uzuri? Je mitaa ya Tandika umefika? hata pale post mbona feces zipo za kutosha tu bob?
 

Loner

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2010
Messages
212
Points
0

Loner

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2010
212 0
Kila nchi ina imani yake... Inaelekea kwamba wewe umenda India na ukachukua mabaya tu... There are parts of India that incredible you can not imagine and obviously there has to be the bad parts which are crowded and are humid and hence stink we have that here also..

Dude look at the bright side usije ukaenda India utegeme kuona vitu kama ULAYA...
 

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
6,618
Points
2,000

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
6,618 2,000
india itaanza kukukaribisha kuanzia airport.....ni harufu ya kinyesi kwenda mbele,mate,makohozi mambo ya kawaida sana kwao.....these people live in hell....no wonder wengi huzamia nchi zingine:brushteeth:
 

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,695
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,695 0
Kwani wewe umeona mizoga ya maiti za watu ndio uchafu tu? Hata iraq,pakistani,palestina,congo dr zipo...inategemea na una-define vp uchafu bob!
 

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,831
Points
1,225

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,831 1,225
Jamani hata muwatetee, hawa watu ni wachafu kupita maelezo!, few place like Goa and Kerala may be a bit better to be but most of the part is sad story.
 

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,695
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,695 0
Jamani hata muwatetee, hawa watu ni wachafu kupita maelezo!, few place like Goa and Kerala may be a bit better to be but most of the part is sad story.
Kwa hiyo Tanzania ni safi sana? Umeilinganisha na wapi? Na unaposema India ni chafu umeilinganisha na wapi? Umetumia vigezo gani kwenye ulinganishaji wako uliofanya?
 

Sinkala

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
1,508
Points
1,225

Sinkala

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2008
1,508 1,225
Ni kweli India ni kuchafu sana, nilikuwa Mumbai mwezi wa nane na wa tisa. Jamaa si wastaarabu hata kidogo, sasa ukichanganya na population yao inakuwa ni balaa. Pia hali ya usalama si nzuri hasa nyakati za sherehe za kidini kama ganpati. Niliepuka sana kula hovyo hovyo kwani unaweza ukaleta magonjwa bongo
 

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,695
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,695 0
lakini huko wana sababu......
Hata India wana sababu sawa na sisi tulivyo na sababu za kuishi kando ya madimwi ya maji machafu sinoni,unga limited, njoro, Buzebazeba,Kambarage,uzuri, Tandika bila kusahau mabatini, ilemi, ibadakuli n.
 

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Messages
2,695
Points
0

Ehud

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2008
2,695 0
Ni kweli India ni kuchafu sana, nilikuwa Mumbai mwezi wa nane na wa tisa. Jamaa si wastaarabu hata kidogo, sasa ukichanganya na population yao inakuwa ni balaa. Pia hali ya usalama si nzuri hasa nyakati za sherehe za kidini kama ganpati. Niliepuka sana kula hovyo hovyo kwani unaweza ukaleta magonjwa bongo
Ulikwenda India ipi? Hata mhindi akija bongo akafikia Sinoni au Tandale akirudi kwao atasemaje kuhusu Tanzania?
 

Sinkala

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
1,508
Points
1,225

Sinkala

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2008
1,508 1,225
Ulikwenda India ipi? Hata mhindi akija bongo akafikia Sinoni au Tandale akirudi kwao atasemaje kuhusu Tanzania?
Ni kweli India ni kuchafu sana, nilikuwa Mumbai mwezi wa nane na wa tisa. Jamaa si wastaarabu hata kidogo, sasa ukichanganya na population yao inakuwa ni balaa. Pia hali ya usalama si nzuri hasa nyakati za sherehe za kidini kama ganpati. Niliepuka sana kula hovyo hovyo kwani unaweza ukaleta magonjwa bongo
Ina maana hujaona nilichoandika? Labda ukivaa mawani yako itasaidia.
 

Kichakoro

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2008
Messages
2,173
Points
2,000

Kichakoro

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2008
2,173 2,000
Wakuu hii ni hatari.

watu hapa wanasema TANDALE kuchafu ni Tandale ipi hiyoOO????? Je huyu mtu alipita lini huko??????
Uchafu wa hapa sio wa mtu mmoja mmoja bali community nzma ni chafuuuuuuuu

Kuna mtu kati yenu aliyesoma public health? Kama hakuna muulize aliyesoma kwa nn India ndio best place
ya kujifunza, simple answer ni WACHAFU KULIKO
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,647
Points
1,250

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
11,647 1,250
India - Dirtiest of All !


54% of India or 638 million people do not have access to toilets & defecate in the open!


This is over 55% of the total for all such people in the world - we certainly hold the dubious distinction of outranking all others by a huge margin :sad:- In second place is Indonesia, with a paltry 58 million.


The report also states that 18% of urban India indulge in this practice (Mumbai, Kolkata & Chennai might account for a large part of this).The percentage for rural India is as high as 69%.


*********************

Figures for some 'top' countries are as follows:
China 50 million; Ethiopia 49 million; Pakistan 48 million; Nigeria 33 million; Sudan 17 million; Nepal 15 million; Brazil 13 million; Niger 12 million; Rest of the world 215 million 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,392,128
Members 528,544
Posts 34,099,528
Top