My life

My life

hongera sana. lkn ni bora nilivyo binadamu wa tanzania kuliko mbwa wa ulaya.
 
Hapana mimi sio mbwa, ila ninawapenda sana mbwa ndugu yangu, na hata ninapo maliza mizunguko yangu ya hapa na pale kitu cha kwanza ninapoludi home nafikia kwa banda la mbwa wangu

Wewe ni mbwa!??:confused2:
 
tanzania na hofu za kina uamsh? wizi wa pesa, mafisadi, wafitishi, wachochezi , wanafiki na yenye watu wavivu kufikiria lol! ila ina neema na hii neema inaenda kua laana, natazama kwa mbali naona TZ inakua kama SUDAN au NIGERIA vile jamanii machozi yananitoka mie mtoto wa mama yangu! napenda sana mbwa ndugu yangu na hata ninapo toka lindoni cha kwanza nafikia kwenye banda la mbwa wangu kutazama anaendeleje

hongera sana. lkn ni bora nilivyo binadamu wa tanzania kuliko mbwa wa ulaya.
 
tanzania na hofu za kina uamsh? wizi wa pesa, mafisadi, wafitishi, wachochezi , wanafiki na yenye watu wavivu kufikiria lol! ila ina neema na hii neema inaenda kua laana, natazama kwa mbali naona TZ inakua kama SUDAN au NIGERIA vile jamanii machozi yananitoka mie mtoto wa mama yangu! napenda sana mbwa ndugu yangu na hata ninapo toka lindoni cha kwanza nafikia kwenye banda la mbwa wangu kutazama anaendeleje

Kwani wewe ni polisi? kwanini usiwe unaenda naye lindo sasa??! ama ni ki-poodle!>??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom