My lady! Is this a True' love...

Umri wako mdogo saaana kuanza kufikiria mchumba na ndoa, jaribu kukaa na utafakari baada ya miaka kumi utakuwa wapi.. huyo Grace nae atakuwa wapi. Jiendeleze kwanza then hayo mambo yatakuja automatically mda muafaka ukifika
 
Samahani mi sio kilaza but ni mistakes tu so it might be happens even to u "!
naomba ushauri wako sio unaniponda hii siyo aim ya mimi kutupia hii thread!
kama huna (KEEP QUIT)

Kijana ukweli ndio huo, watoto wa kike wapo tu... study hard do well then utaanza kuwakataa mwenyewe. By the way women like men that have something they can show to world! Hebu jiulize we una kipi ambacho she can be proud of kama Hata shuleni amekuchana?
 
snowhite na King'asti njooni mumshauri huyu kijana

Samahani mi sio kilaza but ni mistakes tu so it might be happens even to u "!
naomba ushauri wako sio unaniponda hii siyo aim ya mimi kutupia hii thread!
kama huna (KEEP QUIT)
 
Last edited by a moderator:
hahaha was so predictable kuwa utabwagwa tuu...no human wants to b associated na failures ndio fact of life.
 
Thanks we mkali

hahahaaa!!!!!!! Me sio mkali bana, ila nawaonea huruma watu wanaochezea elimu wakati maisha yenyewe bila elimu ni kitendawili kinachohitaji kupewa mji ndio kijibiwe.
 
Stop cryn over spilled milk. U r not the first nor wil u b the last 2 get hurt coz of wrong relations. But life goes on focus on important thngs ur education.... We mbona umri mdogo sana kufikiria v2 vya kukuletea stress za kijinga.
She didn't accept u in her life why keep ha in yours?
 
Dogo Soma acha mambo yanayosababisha ushindwe kukabiliana na mazingira na maisha yako. Wanawake wapo tuu..
Sasa angalia umefeli umeachwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…