My First Love

My First Love

Nimesoma Reply Zenu But Wengine Wanaweza Wakafikiri Im Only After Sex But I Do Need Her In My Life Ni Mschana Mzuri Na Kila Siku Ananifanya Nimhitaji Sana Kwenye Maisha Yangu Sina Lengo La Kumchezea We Come A Long Way.

Mimi ni huu uandishi wa kichina tu!
Hayo mengine naachia wakubwa!
 
Tulia kijana, mwache asome amalize form yake afaulu, aende A level afaulu. Ni kwa ajili ya future yenu. Mkishaanza mapenzi ni hatari sana hata concentration ya shule itakuwa tabu sana. Vipi na wewe si unatakiwa usome?? Achana na haya masuala, jipeni muda hata kama mtashindwa kuvumilia but akiwa ameingia chuo ni better kidogo, I mean after form Six maana pale ndiyo njia ya maisha. Ukifeli form sixi ni mwisho wa mambo mazuri vinginevyo itabidi uanze kuhangaika na vyeti vya certificate, diploma na mpaka uikamate degree kazi ipo.
 
hivi mlidalishana funguo za kufuri zenu? maana nyie dot.com mnatibuka mitandaoni na ndiyo mwanzo wenyewe huo!!!!!!!!
 
Msubiri amalize form 4 kwanza walau.! Mapenzi yapo ukiyaanza tu imekula kwako you will need more,more and more yaani kila siku yanazidi kuwa matam
 
Mungu atunusuru na watoto wetu.........

Hivi yeye huyu bwana mdogo kafeli mtihami wa form four? Ninakushauri dogo jiandikishe kutudia kufanya paper ya mwaka huu tena,achana na ndoto za kuoa wakati bado hujawa na future tetea maisha yako ya baadaye kwanza haya ya ngono yatakuja tu baadaye.
 

Sijakazia Kwenye Sex Buddy Ila Ninaomba Ushauri Kama Ni Safe Na Haito Haribu Saikolojia Au Nisubiri Thats All I Need Kama Ni Kumwacha Mie Sito Fanya Hicho Kitu Kabisa Kama Ni Kimaisha, Future Unavyoiongelea Wewe Inaenda Vizuri Tu Ya Kwangu.
 
Nimesoma Reply Zenu But Wengine Wanaweza Wakafikiri Im Only After Sex But I Do Need Her In My Life Ni Mschana Mzuri Na Kila Siku Ananifanya Nimhitaji Sana Kwenye Maisha Yangu Sina Lengo La Kumchezea We Come A Long Way.

Dogo unaelewa kiswahili, kumuhitaji kwako ni mpaka USEX nae mbona hivyo. Hii ni issue wandugu. Acha. after all hataki kusex wewe unalazimishaje? Fuata ushauir wa THE BOSS utakusaidia.
 
hata shule hajamaliza,tayari ushamwekea mipango ya likizo.!!we unaugwadu tu...trust me... ukishapata tu itakuwa turning point hapo... miaka sita mliyokaa bado haijaonesha kama kweli wamtakia mema mwenzako... yaani unasubiria likizo umkumbushie??/ daah!kumbuka ni mara yako ya kwanza..no experience..ukimpa mimba...?? hata tuseme utumie condom...yaweza pasuka kwa mshawasha ulio nao....tena ndio kwanza kaingia utu uzima (18yrs) legally,,lakini kiuhalisia 18 bado mtoto mdogo....subiri sana bwana mdogo...

Nimekuelewa..
 
Nimewaelewa Nilichokuwa Nahitaji Ni Ushauri Asanteni
 
you just reminded me of my nephew, the same age nae alikuja na vimaswali vyake.... Elvicepride kama wataka mwenzako afaulu O'level, subiri kwanza... mwache amalize shule, nawe umalize baada ya hapo ndo muingie ulimwengu mpya wa mapenzi...
 
Last edited by a moderator:
focus kwenye shule bwn,and let the girl do the same,she is still too young for that,na wewe pia
 
(^_^) Eli79 Thanks Nimekuelewa Asante Kwa Ushauri
 
Last edited by a moderator:
Mwache amalize shule usije ukamfanya akafeli mtihani na ukaingia lawamani, Ipo ipo tu, mwezi novemba siyo mbali.

Naomba Niulize I Have A Girl We Have Five(5) Years Sasa Kwenye Mahusiano Na Huu Ni Mwaka Wa Sita(6) 2014 Tumekuwa Pamoja Since Childhood(Since Day One) We Do Really Love Each Other I,m 20yrs & She,s 18 Now Na Tunamipango Yetu Kuwa Pamoja In The Future & Haya Ni Mapenzi Yetu Ya Kwanza, No Sex Yet! Nilikuwa Namwomba Sana Kuhusu Swala La Mapenzi Hakutaka Kabisa Nina Miaka Mingi Namwambia Kuhusu Hilo Swala Mpaka Mwaka Huu Akaniskiliza Kilio Changu, Na Sio Kwamba Nina Malengo Tu Ya Sex I Need Her In Life Too, Kitu Ni Kwamba Mwezi Huu Tulipanga Ku-have Sex Kwa Mara Ya Kwanza She Is Still A Virgin Ikatokea Mambo Yakaenda Sivyo Ilitokea Akarudi Shule Ghafla Siku Tuliyokuwa Tumepanga Mzee Wake(Mshua) Akamwambia Awahi Shule Yuko Bording (Only Girls School) Mkoa Flan, Shule Yeye Anamaliza Form IV(4) Mwaka Huu 2014, Sasa Mie Ninamipango Akirudi Likizo Mwezi Wa Nne Nimkumbushie Kuhusu Hilo Swala Najiuliza Sana Sijui Anaweza Kukubali Tena Au Kukataa Tena???? Maana Ni Mara Ya Kwanza Kufanya Hicho Kitendo. Nahitaji Ushauri Hapo. PIA Nilikuwa Nauliza Ni Salama Tukifanya Sex Hata Kabla Hajamaliza Na Haito Mpa Madhara Kisaikolojia???? OR I Should Wait Amalizie Form Four(4)..
..Najua Tulipotoka,Tulipopitia Na Tunapoelekea..
Nampenda Sana My Girl Na Namwitaji Kwenye Maisha Yangu Kila Mara Huwa Ananifanya Makes Me Want Her Even More.
Nahitaji Ushauri Mzuri Na Sii Kunishauri We Are Young To Do This & Still Young To Be In Love Affairs.
 
First Love. Wow. Fills me with nostalgia looking back at all the beautiful memories.

Love love love. Kumamae.
 
Back
Top Bottom