My First Love

My First Love

You sound just like my little prince back home....

Kijana umeyaanza mapenzi ukiwa mdogo sana na wala hujayajua mapenzi...

Subiri kidogo kuna link nitakuwekea hapa uisome kwa uzuri...
 
your still young bro just wait kidogo utafanya mpaka utachoka mdogog wangu
 
Subiri mpaka amalize shule wakati nawe ukijiweka vizuri kimaisha, kuna madhara makubwa atayapata endapo mtafanya mapema hivi.
 
madhara makubwa sana mdogo wangu, hujaona huko mtaani kwenu watu wanavyotembea uchi...? yote mapenzi na kuanza kusex umri mdogo...!
 
Nakushauri usi wahi wahi haraka hivyo...
Mi mwenyewe nina umri huo huo kwaio najua mihemko yake..
But hebu fikiria mbele kidogo..
Ukifanya mapenzi naye halafu apate mimba itakuwaje!??:what:
Haya hata asipo pata..
Kumbuka bado hamjafunga ndoa, kwahio huo ni uzinzi.
Kwann usiuepuke!!?:what:

Kaa chini fikiria kwa kina kuhusu hilo jambo..
Ukizingatia faida ni zipi , matokeo ni yapi, na madhara ni yapi..
Ok..🙂🙄🙂🙄
 
Nakushauri usi wahi wahi haraka hivyo...
Mi mwenyewe nina umri huo huo kwaio najua mihemko yake..
But hebu fikiria mbele kidogo..
Ukifanya mapenzi naye halafu apate mimba itakuwaje!??:what:
Haya hata asipo pata..
Kumbuka bado hamjafunga ndoa, kwahio huo ni uzinzi.
Kwann usiuepuke!!?:what:

Kaa chini fikiria kwa kina kuhusu hilo jambo..
Ukizingatia faida ni zipi , matokeo ni yapi, na madhara ni yapi..
Ok..🙂🙄🙂🙄😉
 
Kwanza me kwa moyo safi naomba nikupongeze kwa kusubiri kwa muda wote huo. Me naona mmeingia kwenye adulthood now, so, ningekushauri kama wazazi ni waelewa uendelee kusubiri hadi amalize 6 kama atafaulu na hapo mfunge ndoa kabla ya kwnda chuo. waweza mshirikisha mtu wako wa karibu zaid ktk familia na kufanya maandalizi. kwa wengine hata akimaliza 4 anaweza olewa naona umri unaruhusu. umesubiri sn palipobaki ni karibu sn though pana milima na mabonde mengi sn. But a piece of caution to note, make sure u continue counceling & please your girl to be faithful coz unaweza ww kuwa hvy wakati mwenzio huko masela wanapiga ndonga kama kawa.
 
life is always unfair
unaweza subiri wajanja wakawahi

au uka sex nae aka loose interest na wewe
au wewe uka lose interest

au ukawa umemfungulia njia ya kuwa cha wote

au na wewe ukapata mtu uka lose interest nae

life is always unfair and unpredictable
 
Nimesoma Reply Zenu But Wengine Wanaweza Wakafikiri Im Only After Sex But I Do Need Her Most In My Life More Than Sex Pia Ni Mschana Mzuri Na Kila Siku Ananifanya Nimhitaji Sana Kwenye Maisha Yangu Sina Lengo La Kumchezea We Come A Long Way,
 
hata shule hajamaliza,tayari ushamwekea mipango ya likizo.!!we unaugwadu tu...trust me... ukishapata tu itakuwa turning point hapo... miaka sita mliyokaa bado haijaonesha kama kweli wamtakia mema mwenzako... yaani unasubiria likizo umkumbushie??/ daah!kumbuka ni mara yako ya kwanza..no experience..ukimpa mimba...?? hata tuseme utumie condom...yaweza pasuka kwa mshawasha ulio nao....tena ndio kwanza kaingia utu uzima (18yrs) legally,,lakini kiuhalisia 18 bado mtoto mdogo....subiri sana bwana mdogo...
 
kuifungua zipu yako kunaweza fungua faida ama hasara...lakn pia huwez jua kama keshavua ama la? Kwasababu unajijua hujavua basi baki hvyo kuliko matokeo ya baada ya kuvua
 
TRUE_LOVE_WAITS.jpg
 
Back
Top Bottom