The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
- #21
Ndo maana nikapahitaji huko sijasema hapa
Goodnight notNgachokaaa, haya hadithi yetu inatufundisha nini MADAME Condoleezer??
Wish ungetupia kapicha nione sket inavyokukaa! Ila sanaaaa nitakuwinda siku za weekend !!No
Zamani ndo nilikuwa navaa trousers sana
Nilipoanza kazi walinipiga stop nikaacha
Nikivaa trouser labda weekend mate moja moja sana siku hizi
Mazingira yamenishape
Sent using Jamii Forums mobile app
Yep ana watoto watatu 3 ,wote madumeKipepewo wa chuma nisaidiepo na mimi niingie kwenye iyo "System" ni mwaka wa 54 napambana lakini bado.
Swali za kizushi;-
Hivi "T" ameshawolewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikucheki PM
Naambatanisha namimi!!
Yes nadhan ndo alikuwa anamaliza, ila by 200. .ndo nilikuwa chuo,soma history ya utawala wa Bush utaelewa201... Raisi bush?
Okaay!
Am not thereOkaay!
Throw me a rope when you get to the top!
I won't mind brushing shoes in the state house!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesoma stor yako? chuo umeenda 201.. saivi 200..Yes nadhan ndo alikuwa anamaliza, ila by 200. .ndo nilikuwa chuo,soma history ya utawala wa Bush utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhhh,who is this G?
Ok may be nimekoseaUmesoma stor yako? chuo umeenda 201.. saivi 200..
Relax madame!Am not there
Please usinisababishie matatizo
Am just a humble citizen
Am begging you
Sent using Jamii Forums mobile app