My Fiancée confessed to me

  • Thread starter Mzalendo_Mkweli
  • Start date

M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Messages
895
Likes
180
Points
60
M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2012
895 180 60
Greetings JF
I saw this post in Sex & Relationship Matters in Africa page from Unanimous.After going through the post I saw it wise to bring it here for us to learn from this real life scenario.If you happen to meet this guy what would have been your advice to him.Here is the post..
________________________________________________________________________________________________
Please help me post this and no I.D.
I am in love with a girl who I am sure is in love with me too. We have dated for just 5months, and just last week, I saw her parents and did the marriage introduction. We look to wed before the end of the year God willing. Right now, she's even putting on the engagement ring I gave to her. The problem is that she called me today and told me that she has a confession to make. She then went on to tell me that she has had two abortions from her previous relationship with a guy who she dated for four years and her took her virginity. She is now pleading that I don't use this info against her, that no one, not even her parents know about it. I am at crossroads now at what to do because, to be frank, I haven't been happy since she gave me that news. Please I need serious advise here. What do I do cos I really love this woman with all my heart. Do I call off the engagement, or do I continue?


Source : https://www.facebook.com/sexandrelationshipmatters?hc_location=timeline
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
43,026
Likes
18,242
Points
280
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
43,026 18,242 280
This news is either a dealbreaker or no.

If it is, break the deal.

If it is not, don't.

There's nothing more to it.

Jibu linategemea na mtu.Mtu mwingine ukimwambia hivyo anakwambia kafunge kabisa kizazi usipate tabu kufanya abortion tena.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,692
Likes
3,660
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,692 3,660 280
mmmh! hapa sjiui nisemeje sasa kiinglish chenyewe kiko hivi kweli??
kwangu mm kama lugha ni ngumu bora kutumia kiswahili tu.
kuhusu arbotions sina comment manake yameshatendeka tayari.
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,692
Likes
3,660
Points
280
Age
46
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,692 3,660 280
This news is either a dealbreaker or no.

If it is, break the deal.

If it is not, don't.

There's nothing more to it.

Jibu linategemea na mtu.Mtu mwingine ukimwambia hivyo anakwambia kafunge kabisa kizazi usipate tabu kufanya abortion tena.
to me she did quite right to confess ili isije ikawa shida baadae halafu akapimwa ikaonekana uterus imelegea.
ila tatizo naliona kwa mpokea taarifa je yuko tayari kupokea taarifa kama hii in apositive way??
 
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
4,156
Likes
48
Points
145
Age
32
The secretary

The secretary

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
4,156 48 145
mmmh! hapa sjiui nisemeje sasa kiinglish chenyewe kiko hivi kweli??
kwangu mm kama lugha ni ngumu bora kutumia kiswahili tu.
kuhusu arbotions sina comment manake yameshatendeka tayari.

gfsonwin mbona unapotea sana
 
Last edited by a moderator:
M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Messages
895
Likes
180
Points
60
M

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2012
895 180 60
Thanks for your correction and advice
mmmh! hapa sjiui nisemeje sasa kiinglish chenyewe kiko hivi kweli??
kwangu mm kama lugha ni ngumu bora kutumia kiswahili tu.
kuhusu arbotions sina comment manake yameshatendeka tayari.
 
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2007
Messages
3,908
Likes
184
Points
160
M

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2007
3,908 184 160
Huyu dada ni mkweli na muwazi!! anafaa kuwa mke!

Angeweza pia asiseme na jamaa asingejua!
 
Elia

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Messages
3,442
Likes
6
Points
135
Elia

Elia

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2009
3,442 6 135
kutoa mimba nini bana, chakufanya mpachike mimba kabla ya ndoa akipata mtoto utajua hawakunyofoa kiwanda. kama swala la mtoto sio ishu kwa jamaa basi beba mzigo, kikubwa umesema upendo upo juu...... akili kumkichwa
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,166
Likes
8,611
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,166 8,611 280
ha ha hivi maana ya confession nini?
 
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,161
Likes
1,011
Points
280
MKATA KIU

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,161 1,011 280
Ingekuwa kila mtu anajiweka wazi au anajua aliyofanya mwenzake yote kabla ndoa haijafungwa.. Nina imani ndoa nyingi zisingefungwa maana ni balaaaaa....

Kuna mtu mmoja miaka iliyopita alisema unajua mwanamke utaekuja kumuoa muda huu inawezekana kuwa analamba koni ya mtu ambae atamuita x wake baada ya kukutana na wewe,,, nikacheka sana lakini nikamuelewa
 
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
3,385
Likes
32
Points
145
bornagain

bornagain

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
3,385 32 145
Sasa hapo ndiyo ukute mume mtarajiwa maskini ya Mungu hajawahi kuwa hata na girl friend du inaumeje? Mimi kwa upande wangu nauacha moyo unaamua lakini in short kama jamaa mtarajiwa alikuwa si mwingi then anakuja kukutana na huyo aliezitoa naona inakatisha tamaa kusema ukweli.Bora tu huyo dada angekaa zake kimya maana katika maisha hakuna kitu kinachouma kukutana na jamaa aliemgegeda mama wototo wako tena wakachoropoa na mimba kadhaa wa kadhaa
 

Forum statistics

Threads 1,273,253
Members 490,339
Posts 30,475,425