Unauhakika gani kama hiyo ni laana na si Baraka!? Msipende kuhukumu wakati kwenye vitabu vyenu mnajifunza kutohukumu bila uthibitisho. Mzee kuwa na mawazo hayo huenda anazo sababu za msingi kabisa, uwenda zikawa tofauti na jinsi mleta uzi alivyo wakilisha kwetu, maana nae kisha muhukumu baba yake bila kuelezea sababu halisi.Baba Ana maisha yake na wewe ishi yako .. Heshimu mawazo yake kadri unavyoweza ila tambua ukikosea kuoa utaharibu future yako wewe mwenyewe oa mtu ambae unanednana nae na kupendana nae kama unahisi Una fit kwa mtu ambae sio kabila kua nae ..
Mshirikishe mungu kwenye maamuzi yako sidhan kama mungu ataruhusu laana ya Baba yako ikupate kwakua eti umeamua kua uhuru kuchagua ..
Maybe mwenyezi mungu amekuchagua wewe ili ubadilishe mawazo Baba ako sometimes hapa duniani tunajifunza kwa hard way .. Na you have to accept the challenges..
Rawasen
Baba Ana maisha yake na wewe ishi yako .. Heshimu mawazo yake kadri unavyoweza ila tambua ukikosea kuoa utaharibu future yako wewe mwenyewe oa mtu ambae unanednana nae na kupendana nae kama unahisi Una fit kwa mtu ambae sio kabila kua nae ..
Mshirikishe mungu kwenye maamuzi yako sidhan kama mungu ataruhusu laana ya Baba yako ikupate kwakua eti umeamua kua uhuru kuchagua ..
Maybe mwenyezi mungu amekuchagua wewe ili ubadilishe mawazo Baba ako sometimes hapa duniani tunajifunza kwa hard way .. Na you have to accept the challenges..
Dear Jamii forum
I am in a relationship with a woman i love,and who love me too, the only problem is that he is from a different tribe and my parents are against inter-ethnic marriages.at first i thought they were not serious.
But my father has made it clear that none of his four children will marry a "mkabila" and that he will disown whoever goes against his wishes. Ilove this lady and i have never told him anything about this, do i disobey my tribalist father or leave the woman in my life?
rawasen_jr
njiro-r chugga
Hvi bado kuna watanzania wenye ubaguzi wa makabila mpaka karne hii ya 21?