My ex is back

jamani!!!! hivi wanaume nanyinyi huwa mnaumia kweli kama ambavyo huwa mnaumiza wapenzi wenu kweli, kweli!!! huwa natamani kuwalaani, lakini ndo hvo, dua la kuku halimpati mwewe! mi naona nyie huwa hamuumii vile!
Inawezekana kuna raha wanayopata kwa kuumiza wapenzi wao.
 
ni kweli wako wengi nje lakini wanaweza wasifikie htaj la moyo wako. Inaonesha bado unampenda hvyo kusamehe na kutoa nafas nyngne ni bora zaidi.
 
Kimbia we mwanamke! Tena muogope kidume wa hivyo!! Utaachwa cku ya harusi na shela lako jeupe kama c jekundu! Wanaume wazuri wamejaa tele wapo achana na huyo mchafu wa tabia atakupa vidonda tumbo nakwambia kama c HIV ili mfe wote ! Subiri aliyewako mume wako huyo muache aende usikubali kuchezewa! JITHAMINI!!
 
msamehe bureeee ili upate amani moyoni japo inaweza kuchukua muda.
ukishamsamehe, enenda zako, usitende dhambi tena
 

Run for your life.
 
Duh kama una moyo wa chuma endelea nae tu ila kama ni wa nyama na damu.....tafakari chukua hatua
 
Huyo anataka apumzike kidogo ila si muda ataanza zengwe tena

.......hahaha, una maana #OnTransit sio? Duhhh, kuna zile transit za ku connect flight na zile za delayed flight...,
Sasa huyu #MutimaWangu wa huyu dada yetu sijui yeye atatumia masaa, siku, wiki au mwezi.....hafiki mwaka huyu!
 
Usigeuke nyuma dada yangu. Hana zuri jipya huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…