My ex gf's husband ananitishia maisha

Pole kwa kumiliki msichana mrembo huku ukiwa huna ukwasi, chamuhimu we kachukue RB hafu inabidi uwe jasiri, unajua ukiwa mnyonge atakuonea sana. usiogope hata kupishana nae barabarani.

 

Hahahaa haaaa Uwiiiiiiii
Hii kweli kali
 

Mkuu, hii post yako ungeianzishia sredi kule chit chat, hapa naona unachanganya madesa, Samahani Lkn Kama nimekukwaza
 
Jamani eeeeh, mbavu zangu! mbavu zangu jamani!
 
gogle,au jamaa kasikia umetahiriwa kahisi mke wake atakuletea tena papuchi yake aonje iliyotahiriwa?
 
Uongo uko wapi hapo, kama huna msaada pita kimyakimya
Achana naye mkuu, anataka kuharibu.
Kwa ushauri wangu
1. Ripoti polisi, baada ya hapo
2. Hama hapo ulipo ili uweze kuokoa uhai wako, mtu mwenye pesa huwezi shindana naye.
3. Inawezekana anatafuta mtoto na kaambiwa na mganga wa kienyeji we ndo uliyemroga huyo mwanamke, kwa sura hiyo kaa karibu na Mungu wako.
 
Pole kwa kumiliki msichana mrembo huku ukiwa huna ukwasi, chamuhimu we kachukue RB hafu inabidi uwe jasiri, unajua ukiwa mnyonge atakuonea sana. usiogope hata kupishana nae barabarani.

Mkuu, ujasiri utatoka wapi kupambana na mtu mwenye pesa. Yasikie kwa mwenzio wala si kwako.
Juzijuzi my bro katoka gerezani kwa kesi ya kusingiwa kuua kwa kisa kinachofanana kwa karibu na hiki.
 
Ni kweli nilikuwa nabofya Mara moja moja, Lkn muzee ya sembe hajashtukia, inaonekana bifu ni kwasababu mkewe hashiki tena mimba na anaona Mimi ni chanzo

Mkuu hapo umeharibu, wanawake wa siku hizi loh!!!
 
Haya uliyoyaandika hapa kayaripoti polisi kwa msaada zaidi
 
Nadhani kwa sababu unasema akiamua kukubambikia kesi ya sembe anaweza, tusubiri tuone kama ataweza. Jamaa ana ushawishi aisee, yaani kakupokonya mwanamke na mimba? Mi nimemuogopa
 

Hekaya za abunuwasi hizi
 
Ngoja nazifanyia utafiti habari zako kabla sijarudi kumkamata mtuhumiwa...najua yupo humu humu ndani kakausha..

"Nlikuwepo":bolt:
 

Kwani huko kwenu ngumi huwa mnaziacha stoo.!?? Ukiendelea kulegea atakupa mimba wewe umzalie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…