Salaam wakuu, mimi ni Yule yule wa kanaida.
Huyu jamaa alinichukulia demu niliyekuwa nae kwenye uhusiano kwa miezi 18, alimdanganyadanganya na hela yake ya sembe, akamshawishi aitoe mimba yangu ili amuoe, demu akaingia kingi, akaitoa akaolewa, hiyo ni karibu miaka minne iliyopita, ndio nikaamua sitaki tena mke kwenye maisha yangu.
Hivi karibuni jamaa alienichukulia demu naona amezidisha chuki dhidi yangu, ananifanyia vioja kibao. Za chini ya kapeti zinasema kuwa kutokana na makosa ya kidaktari yaliyotokea wakati wa kutoa mimba, demu hawezi tena kushika mimba, jamaa anapanga kunibambikia kesi ya sembe, na jamaa Ana mkwanja mrefu, akiamua anaweza.
Nifanyeje?
Ana mkwanja mrefu
Itabidi umtafute Don CorleoneSalaam wakuu, mimi ni Yule yule wa kanaida.
Huyu jamaa alinichukulia demu niliyekuwa nae kwenye uhusiano kwa miezi 18, alimdanganyadanganya na hela yake ya sembe, akamshawishi aitoe mimba yangu ili amuoe, demu akaingia kingi, akaitoa akaolewa, hiyo ni karibu miaka minne iliyopita, ndio nikaamua sitaki tena mke kwenye maisha yangu.
Hivi karibuni jamaa alienichukulia demu naona amezidisha chuki dhidi yangu, ananifanyia vioja kibao. Za chini ya kapeti zinasema kuwa kutokana na makosa ya kidaktari yaliyotokea wakati wa kutoa mimba, demu hawezi tena kushika mimba, jamaa anapanga kunibambikia kesi ya sembe, na jamaa Ana mkwanja mrefu, akiamua anaweza.
Nifanyeje?
Kwa hiyo demu wako hakutaka kuwa na huyo jamaa kwa hiari yake bali alitekwa nyara?
Hes a numbskull, you cant reason with him.
haya bana.. ngoja nijisomee haka kakichekesho kwanza!!
Mkeo na mama yako mzazi wana safiri pamoja kwa gari ulilo mnunulia mkeo bahati mbaya wanapata ajali mbaya na wote wanapelekwa hospital wakiwa mahututi.
Doctor anasema hawawezi kupona isipokua kama watabadirishana vichwa chamama kiende kwa mkeo na chamkeo kiende kwa mama.
Operation inafanyika na wanapona vizuri kabisa.
Umeenda kuwachukua hospital, je! nani utampeleka kwa baba na nani utamfanya mkeo?
haya sasa!!
mkuu kweli hicho ni kisa,
Nimebaki nacheka tu
Huyo ndo Gogle mzee wa visa vya uongo