J Jeorpa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 372 Reaction score 222 Jul 3, 2025 #1 Wakuu naomba kupewa huduma kwa mtumiaji wa Dstv nijiunge na My dstv app, nitachangia
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 2,496 Reaction score 5,659 Jul 3, 2025 #2 Utachangia shilingi ngapi? Hilo dude linakula data kama supu umejiandaa?
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,193 Reaction score 4,304 Jul 3, 2025 #3 Mvinyo mpya said: Utachangia shilingi ngapi? Hilo dude linakula data kama supu umejiandaa? Click to expand... si kweli utumiaji wake wa data kuwa ni mkubwa bali wa wastani kutegemea na ubora wa picha mjongeo unaoutaka.
Mvinyo mpya said: Utachangia shilingi ngapi? Hilo dude linakula data kama supu umejiandaa? Click to expand... si kweli utumiaji wake wa data kuwa ni mkubwa bali wa wastani kutegemea na ubora wa picha mjongeo unaoutaka.
J Jeorpa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 372 Reaction score 222 Jul 3, 2025 Thread starter #4 Mvinyo mpya said: Utachangia shilingi ngapi? Hilo dude linakula data kama supu umejiandaa? Click to expand... Ww mhusika utaniambia tu nichangie kiasi gani, malengo yangu nipate tu channels za maisha magic na m net family ipate cha kuangalia
Mvinyo mpya said: Utachangia shilingi ngapi? Hilo dude linakula data kama supu umejiandaa? Click to expand... Ww mhusika utaniambia tu nichangie kiasi gani, malengo yangu nipate tu channels za maisha magic na m net family ipate cha kuangalia
J Jeorpa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2016 Posts 372 Reaction score 222 Jul 3, 2025 Thread starter #5 dikir kab can said: si kweli utumiaji wake wa data kuwa ni mkubwa bali wa wastani kutegemea na ubora wa picha mjongeo unaoutaka. Click to expand... Boss unayo uniwezeshe
dikir kab can said: si kweli utumiaji wake wa data kuwa ni mkubwa bali wa wastani kutegemea na ubora wa picha mjongeo unaoutaka. Click to expand... Boss unayo uniwezeshe
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,193 Reaction score 4,304 Jul 3, 2025 #6 Jeorpa said: Boss unayo uniwezeshe Click to expand... bahati mbaya nilishamuunga jamaa yangu.
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,597 Reaction score 5,185 Jul 3, 2025 #7 dikir kab can said: bahati mbaya nilishamuunga jamaa yangu. Click to expand... Nipe na mimi kuunga sio mtu mmoja tu sheikhe ni wengi
dikir kab can said: bahati mbaya nilishamuunga jamaa yangu. Click to expand... Nipe na mimi kuunga sio mtu mmoja tu sheikhe ni wengi
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,193 Reaction score 4,304 Jul 3, 2025 #8 Kilangi masanja said: Nipe na mimi kuunga sio mtu mmoja tu sheikhe ni wengi Click to expand... kwa king'amuzi kimoja unapewa connection za ziada mbili (jumla tatu i.e king'amuzi + vifaa vingine viwili) ambavyo kwa sasa vimejaa
Kilangi masanja said: Nipe na mimi kuunga sio mtu mmoja tu sheikhe ni wengi Click to expand... kwa king'amuzi kimoja unapewa connection za ziada mbili (jumla tatu i.e king'amuzi + vifaa vingine viwili) ambavyo kwa sasa vimejaa
Blaszczykowski JF-Expert Member Joined Dec 20, 2022 Posts 339 Reaction score 1,163 Jul 28, 2025 #9 Inbox kama bado haujapata
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,597 Reaction score 5,185 Jul 28, 2025 #10 dikir kab can said: kwa king'amuzi kimoja unapewa connection za ziada mbili (jumla tatu i.e king'amuzi + vifaa vingine viwili) ambavyo kwa sasa vimejaa Click to expand... Shukran kiongozi
dikir kab can said: kwa king'amuzi kimoja unapewa connection za ziada mbili (jumla tatu i.e king'amuzi + vifaa vingine viwili) ambavyo kwa sasa vimejaa Click to expand... Shukran kiongozi