My Dream Car

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,326
Reaction score
7,807
That's my dream Car, hakuna cha vogue wala fog, sijui maBentley ma hama, I only have fallen hapa, to this sweetheart Infiniti FX 3.0d GT. Mungu anijalie nije nimmiliki huyu mwali na moyo wangu utatulia.
Amina.

What's your dream car, let's tiririka hata kama kwa sasa hatuna uwezo, one day tutapata tu. Amen.
 
Mie baiskeli tu yanitosha....ndio naweka mia mia hadi zitimie hela za kununua

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mie baiskeli tu yanitosha....ndio naweka mia mia hadi zitimie hela za kununua

sent from my blackberry 9320 using jamiiforums
mungu hamtupi mja wake na nakuombea inshaallah uipate baiskel tena 4nex utaweza dada farkhina ? Me ndoto zangu hazijatimia so i am still sleeping
 
nilitak kusema ile kama ya kina ronaldo ile buggati........ila nikakumbuka kuwa ndoto yang itaisha haraka maana speed ya zile gari balaa.....sasa nataka bajaji
 
Ahsanteee ntawekaa tena ntakua nakupakiza siku moja moja lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mie baiskeli tu yanitosha....ndio naweka mia mia hadi zitimie hela za kununua

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Still a wishfully wish.

Naiishi ndoto yako, ingawa ni ya familia

Asante mkuu., Mungu atajaalia nina imani.

mungu hamtupi mja wake na nakuombea inshaallah uipate baiskel tena 4nex utaweza dada farkhina ? Me ndoto zangu hazijatimia so i am still sleeping

Hahahaha...,
nilitak kusema ile kama ya kina ronaldo ile buggati........ila nikakumbuka kuwa ndoto yang itaisha haraka maana speed ya zile gari balaa.....sasa nataka bajaji

Hahahaa., lakini kwa barabara za Bongo I bet hata waendesha baiskeli watakupita.

Ahsanteee ntawekaa tena ntakua nakupakiza siku moja moja lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

LOL!!
 
daaha mtoto wakiume akikaa kwa baskeli driver mwanamke ni hataree tupu .... usinpime imani dada farkhina kwa ajili ya lift
 
Ah basi kumbe hujiamini mana nataka kukulipa lifti lakini wataka piga na hoi.....nakuachaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ah basi kumbe hujiamini mana nataka kukulipa lifti lakini wataka piga na hoi.....nakuachaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

mhh ntatembea kwa mguu tuu ahsante hiyo 4nex yako itantia majanga dunia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…