Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
Sio kwamba hakujq, itakuwa alifika mpaka hapo akakuthaminisha pengine kwa mtazamo wake akaona hukufikia matajio yake, hivyo akasepa.I had a date yesterday with this guy pale wildflour jioni, Ila huwezi amini the guy didn’t show up , nampigia simu anapokea anasema tu nakuja nakuja kuna foleni. Nimekaa pale 3 hours namsubiri and I ordered food with drinks . Baadae nampigia tena hapatikani nikaona uyu mwanaume mshenzi sana . Ikabidi nilipe bill yangu kwa card yangu ya bank coz I didn’t have enough cash , Yani nilichukia sanaa. Ila Mungu alivokua wa ajabu , kumbe kuna this Australian guy alikua ananiangalia muda mrefu sana , Basi Akaja akanambia it seems your date didn’t show up . Nikamwambia exactly Yani am very pissed right now I just want to leave this place , akasema if you don’t mind I can give you company Basi mtoto wa kike nikakubali 😂😂 na hasira zangu zikaisha pale .
Then leo asubuhi yule mshenzi anapiga simu sijapokea akaamua ani text Eti Jana aliumwa gafla na simu yake iliisha charge. Yani anatoa sababu ya kijinga , na mm sijamjibu nimemblock.
Yani wanaume wengine ni a waste of time and energy .
Hapana ingekuwa hivyo,asingemtafuta leo asubuhiSio kwamba hakujq, itakuwa alifika mpaka hapo akakuthaminisha pengine kwa mtazamo wake akaona hukufikia matajio yake, hivyo akasepa.
Hivi hii mitandao bado inafanya kazi?Utakuwa ilimpata dating site....Tinder, Badoo ,Tan tan, Tagged na zinazofanana nazo.
Huko kuna Wala mbususu wengi kuliko wenye Nia. Pole sana.
Basi baada ya appointment mpenzi wake akatia timu......Hapana ingekuwa hivyo,asingemtafuta leo asubuhi
Atakua alikuja tu....
Ila akaona mbona nilioder sato mkubwa kabisa aliekaangwa ila hapa kuna kambale choma, akaona akancel oda
Kabla sijaendelea uko wapi...Basi baada ya appointment mpenzi wake akatia timu......
Nakupigia wait.....😹Kabla sijaendelea uko wapi...
Bila D mbili unaweza kukosa bidhaa hivi hiviTangazo limekaa kimkakati sana.
Ahahah...Hivi hii mitandao bado inafanya kazi?
Huwa inapatikanaje