my dady on da way

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
dady yangu anarudi leo tumemuandalia msosi wa ukwee c mnajua jinsi mumy cathy akipika acha kabsa,halafu babu asprini ujitayarishe kujibu kesi ya zile picha wale mliokua mnazonga mumy cathy amemuambia dady mbona mtakoma,aunt b nasty tutaenda wote kumpokea
 
Daughter, nilikuwa busy na maandalizi ya kumpokea dady wako, si unajua maandalizi ya mom yanakuwa tofauti kidogo. Love you my daughter.
 
dady yangu anarudi leo tumemuandalia msosi wa ukwee c mnajua jinsi mumy cathy akipika acha kabsa,halafu babu asprini ujitayarishe kujibu kesi ya zile picha wale mliokua mnazonga mumy cathy amemuambia dady mbona mtakoma,aunt b nasty tutaenda wote kumpokea
:welcome:

mbona nime muona anaingia guest na mjimama wa hapa mjini. Au mkewe?
:peep:

rutaaa! Huyo atakuwa ni Asprin.
:gossip::banplease:

kweli kabisa nilichanganya ni Aspirin
:ban:
 
Back
Top Bottom