Hahaa jamaa hajajiua kumbe?mkuu fanya haraka nimekaa ubungo masaa mawili kusubiria mtu ajiue kanipotezea muda kweli yule na wewe tena fanya haraka basi
Yes I miss uUmerudi?
Oyaaa, siungoje kwanza amalize ndo umnange? Akisusa je?Tatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa
Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Nashukuru ndugu umeliona hili, au ndo asilimia ngapi zile za mama?Tatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa
Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Hainaga kungoja tunapaushaga...hii chai km chai zingine.Oyaaa, siungoje kwanza amalize ndo umnange? Akisusa je?
Kazini kuna stress kibao,umri wetu wengine umeeenda sana, vijistori kama hivi vinatupa insight ya maisha ya ujana wa siku hizi.Oyaaa, siungoje kwanza amalize ndo umnange? Akisusa je?
Hahahaaa itakuwa aisee.Nashukuru ndugu umeliona hili, au ndo asilimia ngapi zile za mama?
Tatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa
Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Hii ndo jf..kweli ukiwa muongo sharti uwe na kumbukumbuNatafuta kazi hasa ya udereva
hivi NIT udereva miaka mingapi mkuu
Ili siku ingine chai yake iwe na tangawizi.Sasa wewe unajua hii ni chai
why una mind errors?
Sina hakika kama muuza mkaa ana luxury time ya kushinda JF!Tatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa
Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Shule ya huyo kwenye avatar yakoTatizo vivulana vya humu kila kamoja kakileta chai yake lazima kaweke neno "Chuo cha Dar"
"Gari"
au "Demu mkali"
Sijawahi kuona kameandika labda kanauza mkaa
Chuo gani mnafundishwa kuandika
*kazaa,muuzuriaji, hifathi ya serengeti,swala,bikra,uwongo,apa?
Time ipo sana tu akiwa free.Sina hakika kama muuza mkaa ana luxury time ya kushinda JF!
Hahahaaa itakuwa aiseeShule ya huyo kwenye avatar yako