Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Jamani eeh, mwenzenu kesho itakuwa ni ukumbusho wa siku yangu ya kuzaliwa miaka kadhaa iliyopita. Mamangu(RIP) alinizaa tarehe 03/03/... siku ya jumamosi saa kumi alfajiri. Nawaombeni mzidi kuniombea kwa mungu nizidi kumtumikia vema yeye na wanadamu wenzangu kwa upendo.Sherehe imesogezwa hadi jumamosi kwani kwa kipindi hiki niko kwenye mtihani kama mjuavyo vyuo vikuu vingi muda huu kwa mwanafunzi hakukaliki. Nawaombeeni wote ujasiri na moyo wa kazi na kuzidi kukemea maovu na kusifia mazuri.
Ndimi mtumishi wa bwana
Genekai
Ndimi mtumishi wa bwana
Genekai