My best gospel song ever

Mmmh this is my playlist but imekosa wanna be happy na I am all by kirk franklin
 
Kinyimbo, na ki muziki yaan kika nikiwaangalia nahisi form yao iliishia jc 19
siwezi kusema sana kuhusu hilo mana 21 sijaiona bado ila wamerekodia dallas potters house kwa TD Jakes afu wiki kama 2 kumekuwa sana na mjadala fb kuhusu hili uzuri ni kuwa wengi ni friends zangu fb so unalosema pia limesemwa fb mpaka wwngine wakasema wamemmiss mbatha lakini pia music director wa sasa siyanqoba mthetwa level yake ipo juu mno kuliko musicians wa joyous so wadau wakadai kuwa hilo pia linachangia
 
Mimi nimeziona nyimbo kama mbili hivi, nat good.

Yaan nikiangalia spirit 6 na joyous 21,naona jinsi spirit wanavo piga hatua na jc wana rudi nyuma.
May be pia Siya mwenyewe vijana alio wakusanya sasa bado hawaja kaa sawa kimuziki. Yaan mwakani inatakiwa wa change vitu sana wale jamaa.
 
Avulek amazulu is the best,RIP VUYO MOKOENA
 
Wakuu naomba mnisaidie jina la huu wimbo. Jehova nisi, jehova shalom elioki Bwana nakuabudu. Naomba sana ni wazamani kidogo
 
Wakuu naomba mnisaidie jina la huu wimbo. Jehova nisi, jehova shalom elioki Bwana nakuabudu. Naomba sana ni wazamani kidogo
Huo kaimba jamaa anaitwa naki kama nakumbuka unaanza hivi baba wa mbinguni unatoshaaa wewe uliye mkuu na mwema ......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…