Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
anatafuta ujiko! Life kwa kutumia dudu yake
subirini mhongwe
Kongosho kuja hapa
hivi mnakumbuka zamani watoto wanavalishwa kiunoni uzi mweusi na kitu kama kishilingi kilichotobolewa katikati sijui ni dawa ya kiuno hata sielewi
ye mwenzetu ytcoon natalia alikuwa anavalishwa madollar
nyie mlikuwa mnavalishwa shanga kiunoni utoto mwenu mwenzenu Natalia alikuwa anavalishwa shanga za madiamonds na matanzanite
aiseee