anatoa tigo?
Kwanini uzunguke kiasi hiki?Habari zenu wakuu.
Naandika hii post kwa niaba ya best friend wangu. Kwa kweli yeye hafahamu kama nimemuweka humu, ila kwakuwa alinidokeza nia yake nikaona si vibaya kujaribu na JF.
Tafadhali naomba serious Men.
interested Men please ni PM kwa mazungumzo zaidi, before i decide to give her contacts.
I hope mtaieshim hii post na kurespond seriously
Kwanini uzunguke kiasi hiki?
Si unyoroshe maneno tu!!....nadhani hakuna sababu kupitia 'care-of'
Vinginevyo naheshimu sana hisia zako na jinsi unavyotii Moyo wako!
Ndiyo freedom of expression hii bana!
Kwanini uzunguke kiasi hiki?
Si unyoroshe maneno tu!!....nadhani hakuna sababu kupitia 'care-of'
Vinginevyo naheshimu sana hisia zako na jinsi unavyotii Moyo wako!
Ndiyo freedom of expression hii bana!
sawa mrembo sijakidhi vigezo vya umri na mimi nahitaji mke ila nina miaka 29,mrefu,first degree na ni mkristo.ivi kwanini watu humu ndani mnapenda kuhisihisi mambo? ivi wewe hujawahi kusikia au kuona watu wanaunganishiana, na hatimaye wanakuwa na happy relationship. mi ninamifano hai mingi, and i believe in match making, ndio maana nikapost hii mada hapa.
anatoa tigo?