My bed is too big

My bed is too big

magila

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
37
Reaction score
4
Jaman kweli kuna umri unafika ni lazima ulale na mwenzio hapa nakiona kitanda futi kumi akat ni futa 5 tu.ucku mwema wandugu.
 
Kuna watu wanaolala vibarazani kibao; you will be blessed ukiwakaribisha at least 3 mlale nao kitandani.
 
Mh ni kwel tatizo ni je watalala cku zote?@kaunga
 
Alichomoa wangu baada ya kuniona tu fb akapotea.haha
 
Nimetangaza upweke hapa nikipata tu ntatangaza kuwa sasa nalala nayo naamka nayo niombee Kaunga
 
Last edited by a moderator:
hahaha oa mbona wasichana ni wengi usipime,wanawake ndo usiulize au wasubiri kuoteshwa.
 
Huna kipet kama mbwa au paka,pet wanaweza kukupa company kama binadamu hawapo au huangaliagi movie?zidisha maombi,
 
Any way. Ningekuwa mtoto ningekwambia upeleke kwa fundi selemala akapunguze.
 
Shida yote yanini lala kwenye meza ya kupigia pasi.
 
Mimi nakushauri hicho kufungue kwa muda, halafu kanunue cha futi mbili, ambacho hata kugeuka utaogopa, maana lazima uanguke.Kila la kheri
 
Back
Top Bottom