My baby is strange

Wewe spyware website nunua software .sio Lazima Uwe na Simu ya Huyo mtu unaweza tumia remote ku activate au hiyo website inamtumia message akifungua tu unapata access .

naijua mkuu, ila najua inatumia smart phones.
Nimemzingua kwani ina maana hajui kama ni ka-application au ametuzingu? Nami ndo maana nkamzingua
 

Hakuna kiumbe mwenye uwezo wa kujua anachowazo kiumbe mwingine.
Hizo ni hadithi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…