My aunt's house girl

Mwe!! kumbe wakati mwingine tunakuwa na wagonjwa wa akili halafu tunasema wanga. Sasa katika uchunguzi wako hawa exhibitionists hawawezi kufikia kutenda mambo mengine kama kubaka? Asijenajisi watoto wa bosi!

Hiyo ni ishu nyingine tena ila exhibitionists wanakua na hali ya kuonyesha maungo yao ya siri hadharani mfano Kwenye viwanja vya mpira na popote Kwenye mazingira ambayo si ya siri na hujisikia kufanya hivyo kwa kuhisi wanapata raha...mara nyingi inapozidi inaweza ikawa mtu anakuwa na hamu ya kufanya ngono mahali wazi ambapo watu wengine wanamuona. Ila kwa case ya kubaka sijajua.
 
Tushamwambia mara nyingi tu, lakini hasikii
 
nitumie namba yake ya simu.huyo ndo anafaa kuoa.

Mda wote yuko ndani ya geti hamna kutoka.

Sasa si atakuwa anakukalia uchi muda wote, we unapenda hivyo?
 
to me hilo jambo nisingelichukulia kiurahisi sana. Labda kuna na mengine, mathalani masuala ya ushirikina; utapendaje kukaa uchi muda wote huo, hadi watu wengine wanakuona na wewe unaona ni sawa tu.

Mie ningempeleka katika maombi tujue moja kama hyo ni hobby au kuna la ziada.
 
Mpeni ruhusa japo siku moja moja za mwisho wa wiki aende akatembee mjini, hiyo hali itakwisha...
 
huyo si mwanga wala, si anataka kugegedwa ila ana matatizo ya akili na kibaolojia huitwa exhibitionist watu wa psychiatric watamsaidia tatizo lake...........

watu hawa huwa na desturi za kuonyesha sehem zao za siri hata kwenye public places kama viwanja vya mipira, ama kwenye maonyesho nk wengine hudiriki hata kuzini sehem za watu wengi na kwao hilo sio kosa wanaona kama sehem ya maisha.....

mpeleken kwa dkt wa vichaa
 
 
Ana pepo na uchi tena kalitengeneza mwenyewe, aunty mvumilivu maana mie ningembalasa wiki ya kwanza tu, kwanini apende kukaa hivo tena nyumba ya watu sio ya kwake, mrudisheni singida akakae huko uchi
 

mpeni kazi cousin atakaa sawa
 
huyo wala c mchaw,ila mawil la!ana act aish km mzungu!au mmemfungia ndn long time kiac kwmb she need sex bt hajapata hyo nafac,hebu jarbu kuwa unamtoa out km hana kaz jaribu kumuelewexa ukiwa nje ya hapo hme then km umri wk unaruhusu akipata boyfriend you will see changes ila usisahau kumpa ushaur wa uzaz wa mpango,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…